read

Hii ni hadithi fupi juu ya Karbala.
Makala haya yametarjumiwa na
ASSALAMU 'ALAYKUM YA SHUHADAA-I-KERBALA
JARIBU KUTEMBELEA JANGWA LA KARBALA, AMBAPO KUNA MAFURIKO YA DAMU, MVUA ZA MACHOZI NA NYOYO ZINAZOLIA KILIO CHA KIU CHA AL ‘ATASH….
ENEZA UJUMBE WA KARBALA … ENEZA DINI YA ISLAM …, DINI YA KWELI NA YENYE KUDUMU ….
Imam Hussain ( a.s.) awasili Karbala huku akiuongoza msafara wake wa Wananyumba wa Mtume Muhammad s.a.w.w. wakiwemo ndugu, jamaa, wanawake na watoto wakiwa jangwani
Vita pamoja na maadui

(Kuaga kwa mara ya mwisho)
Akiwa ameanguka
Imam Hussain (a.s.) akisubiri mwito wa Allah (swt)Wanawake watakatifu na watoharifu wa Nyumba ya Mtume Muhammad Mustafa s.a.w.w. ( Ahlul Bayt a.s. ) wakijitupa miguuni mwa
Zuljana ambaye amerejea bila ya Imam Hussain ( a.s. ).Wananyumba wakiwa pamoja na
Zuljana asiye na bwana wake, wakilia juu ya kifo cha Imam Hussain ( a.s. ).Wanawake wa wanayumba ya Imam Hussain ( a.s. ) wakilia kwa maangamizo na mateso na dhuluma yaliyoyapata katika masaa machache yaliyo pita.Kiwiliwili bila kichwa cha
Imam Hussain ( a.s. ) Kilichokuwa kimeachwa katika jangwa la Karbala baada ya VitaMaadui wa jeshi la ‘Umar Saad (AL) waanza uporaji na kuchoma moto mahema ya wananyumba wa Ahlul Bayt a.s. ambamo waliobakia ni wanawake, watoto na wagonjwa tu -
Shame GharibaKatikati ya hofu na vitisho, wananyumba wa Imam Hussain ( a.s. ) wajikusanya mbele ya Imam aliyeshika hatamu ya Uimamu, Al Imam
– ‘Ali ibn Hussain Zayn al-‘Abidin (a.s.)Wakiwa wamefungwa minyororo mizito shingoni na miguuni na huku wakitembezwa kwa miguu
- Imam 'Ali Zaynul-‘Abidin (a.s.), wanawake, watoto na wagonjwa wachukululiwa matekaIdumu milele bendera ya Islam ambayo iliokolewa na damu toharifu ya Mashahidi wa Karbala
HUSSAIN YU HAI DAIMA...YEYE JANA PIA ALIKUWA HAI NA LEO PIA YU HAI NA DAIMA ATAKUWA HAI …..
… DAMU YA HUSSAIN ( a.s. ),
SABR YA ZAINAB ( a.s. )
MAUAJI YA KARBALA,
MAUAJI YA KARBALA,
NDIYO YALIYOOKOA
LA-ILAHA-ILLALLAH...
LA-ILAHA-ILLALLAH...
>>ILTIMAAS-E-DUA'A, MO'MIN MOHTAAJ-E-DUA'A