Muhammad Mtume wa Allah

Publisher(s): 

Kijitabu kilichoko mikononi mwako ni tarjuma ya Kiswahihi kutoka Kiingereza. Ni maelezo mafupi ya wasifu wa Mtukufu Mtume wa Mungu mwenye nguvu sana, Muhammad (s.a.w.), ambaye kuhusu yeye Qur’an Tukufu inasema:

“Bila shaka amekufikieni Mtume kutoka miongoni mwenu, yanamhuzunisha yanayokutabisheni, anakuhangaikieni, kwa waumini ni mpole, mwenye kurehemu.”(9:128)
“Nasi hatukukutuma ila uwe rehema kwa walimwengu.” (21:107)

Topic Tags: 
Person Tags: