Makala hii inaeleza madhara ya kusema uongo na pia kwa kiasi gani msema uongo anadhalilika. Visa vilivyo elezwa vinatufundisha kuwa ni hasara kubwa kusema uongo.

Kimekusanywa na kutarjumiwa na Amiraly M H Datoo Bukoba - Tanzania