Makala hii inajadili  kuhusu kusherekea Maulidi au la.
Sheikh Abdilahi Nasir amefafanua vizuri sana sababu za kusherekea mazazi ya Mtume wetu Mtukufu. Usomaji wa makala hii utanufaisha jamii kwa ujumla na kupata jibu la kuridhisha kuhusu kusherekea Maulidi.